Mashua ya plastiki yatua Zanzibar, UN yapongeza SMZ kwa kukabili taka za plastiki - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashua ya plastiki yatua Zanzibar, UN yapongeza SMZ kwa kukabili taka za plastiki

 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano-Afrika wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Mohamed Atani (kushoto), pamoja na Mwakilishi wa UNEP Tanzania, Clara Makenya (kulia) wakiongozana na Rais wa Baraza Kuu la Kimataifa la Mazingira (UN Environment Assembly-UNEA), Siim Valmar Kiisler (katikati) alipowasili  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume tayari kampeni ya kuhamasisha kupambana na taka za plastiki baharini na fukwe kupitia Mashua iliyotengenezwa kwa plastiki iliyopo kwenye fukwe za Forodhani visiwani humo.  Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano-Afrika wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Mohamed Atani (kushoto), Mwakilishi wa UNEP Tanzania, Clara Makenya (katikati) pamoja na Rais wa Baraza Kuu la Kimataifa la Mazingira (UN Environment Assembly-UNEA), Siim Valmar Kiisler (kulia) wakiwa kwenye chumba maalum cha wageni mashuhuri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. Rais wa Baraza Kuu la Kimataifa la Mazingira (UN Environment Ass... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More