Maskini Mbowe! Yamemkuta tena - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maskini Mbowe! Yamemkuta tena

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco) mkoani Kilimanjaro limekata umeme kwenye hoteli inayomilikiwa na Freeman Mbowe, Mbunge wa Chadema Taifa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Taarifa zinaeleza kuwa, hoteli yake yenye jina la Aish imedaiwa kutumia umeme wa wizi na kusababishia Tanesco hasara ya zaidi ya Sh. 10 million. Mahawa Mkaka, Meneja Tanesco Mkoa ...


Source: MwanahalisiRead More