Masoud kuikamua Simba mamilioni - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Masoud kuikamua Simba mamilioni

MABOSI wa Simba wamekubaliana kuachana na kocha msaidizi wao, Masoud Djuma, lakini kocha huyo kutoka Burundi anatarajia kuivuna klabu hiyo fedha za maana ikiwa ni fidia ya kuvunjwa mkataba wake.


Source: MwanaspotiRead More