Massau Bwire awapa sharti gumu Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Massau Bwire awapa sharti gumu Simba

Kuna jamaa Antwan Masau Bwile, msemaji wa Ruvu Shooting jamaa ana vituko hatari zikiwa zimebakia dakika 20 kuanza kwa mechi tayari ameanza tambo na kujihakikishia pointi tatu. Masau Bwile:Simba wanashuka kituo cha Ruvu, Mlandizi.


Source: MwanaspotiRead More