Mastaa Bongo baada ya kifo cha Sam wa Ukweli - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mastaa Bongo baada ya kifo cha Sam wa Ukweli

Usiku wa kuamkia leo June 07, 2018 tasnia ya burudani Bongo imegubikwa na wigu zito kufuatia kifo cha msanii Sam Wa Ukweli.Taarifa za kifo chake zimeshtua wengi kwani hakukua na taarifa za kuugua kwake hapo awali. Wasanii wenzake wameonesha kuguswa na kifo chake, hivi ni baadhi ya walivyoandika katika mitandao.


diamondplatnumzMBELE YAKO NYUMA YETU SAM…. InshaAllah Mwenyez Mungu ailaze Roho yako na za wote walotutangulia Mahala pema peponi Amin….🙏🏻
iamrubyafricaAaah ukinchukia sishangai 😫😫sishangai minajua binadamu ndivyo tulivyo 😫🙌🙌🙌👑rest in internal peace #RIPSAM🙏🏻👑
niitesongaUlihakikisha kila aliyebahatika kuzungumza na wewe unamuachia furaha na kitu cha kujifunza,Daaah ngumu kuamini kuwa hatuko nawe tena ila hatuna budi..Mungu akulaze pema SAM WA UKWELI
kalajeremiahpUMZIKA KWA AMANI NDUGU YETU KIJANA MWENZETU MSANII MWENZETU SAM WA UKWELI UMEUMALIZA MWENDO. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
mwasitijupumzike pema 🙏🏾🙏🏾kila nafsi itaonja umauti.
#RipSamWaUkweli

Sam wa Ukweli amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Hospital ya Palestina, Sinza na mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala Dar ss Salaam. Sam wa Ukweli alitamba na nyimbo kama Sina Raha, Kwetu Wapo na nyinginezo.

Loading...Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

The post Mastaa Bongo baada ya kifo cha Sam wa Ukweli appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More