Mastaa Ulaya wamfariji Welback - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mastaa Ulaya wamfariji Welback

Welbeck amekuwa na historia ya kupata majeraha ya mara kwa mara, mshambuliaji huyo wa Kiingereza  anakumbukwa kwa kuikosa kwake michuano ya mataifa ya Ulaya, 2016  kutokana na majeraha aliyoyapata akiwa na Arsenal.


Source: MwanaspotiRead More