Mastaa wa England waliotaka kuzihama timu zao dirisha lililofungwa jana - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mastaa wa England waliotaka kuzihama timu zao dirisha lililofungwa jana

DIRISHA la usajili Ligi Kuu England umefungwa na yaliyotokea yametokea. Kwenye dirisha hilo la uhamisho wa wachezaji kwenye majira haya ya kiangazi lililofika tamati jana Alhamisi, kuna mastaa kibao kwenye Ligi Kuu England walifichua dhamira za kutaka kuzihama timu zao kwenda kwingineko.


Source: MwanaspotiRead More