Mastaa waliomkimbia Samatta tangu atue Genk - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mastaa waliomkimbia Samatta tangu atue Genk

STAA wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anataka kuikimbia klabu yake ya Genk inayoshiriki Ligi Kuu ya Ubelgiji barani Ulaya. Klabu za Levante ya Hispania na Schalke ya Ujerumani zimeonyesha nia ya kumnasa staa huyu mwenye umri wa miaka 25. Endapo atafanikiwa kuondoka Genk, basi Samatta atakuwa ameungana na kundi la mastaa kadhaa aliocheza nao ambao wametimka klabuni hapo tangu Januari 2016.


Source: MwanaspotiRead More