Mastaa walioshabikia timu pinzani utotoni - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mastaa walioshabikia timu pinzani utotoni

WAKATI mwingine mastaa wa soka huwa wanaishia katika klabu ambazo hawakutarajia kuzichezea utotoni. Kama ni mapenzi kwa klabu fulani, basi kumbe walikuwa na mapenzi na klabu ambazo baadae hawakujua kama zingekuwa timu pinzani. Wafuatao ni baadhi ya mastaa ambao walikuwa mashabiki wa timu pinzani utotoni.


Source: MwanaspotiRead More