Mastaa Walizwa na Msiba Wa Godzilla - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mastaa Walizwa na Msiba Wa Godzilla

Siku ya jana Msanii wa Hip Hop Golden Jacob maarufu Godzilla ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo.


Wasanii mbali Mbali Bongo wameonekana kuguswa na msiba huo wa ghafla kupitia  kurasa za Mastaa mbalimbali nchini wamefunguka na kueleza Jinsi walivyoguswa na msiba huo:

, 


The post Mastaa Walizwa na Msiba Wa Godzilla appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More