Master J: Shaa amesema kilimo kinamlipa zaidi kwa sasa kuliko muziki (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Master J: Shaa amesema kilimo kinamlipa zaidi kwa sasa kuliko muziki (Video)

Baada ya ukimya wa muda mrefu wa muimbaji Shaa, hatimaye mpenzi wa msanii huyo, Master J amefunguka kwa kusema kwamba muimbaji huyo kwa sasa yupo mkoani Mbeya anafanya kilimo na anaingiza pesa nyingi kuliko ambazo alikuwa anazipata kwenye muziki.The post Master J: Shaa amesema kilimo kinamlipa zaidi kwa sasa kuliko muziki (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More