Matangazo ya kisiasa kwenye Twitter ni marufuku: Je kwa nini? #Uchambuzi - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Matangazo ya kisiasa kwenye Twitter ni marufuku: Je kwa nini? #Uchambuzi

Matangazo ya kisiasa kwenye Twitter na app/mitandao mingine ya kijamii kama Facebook yamekuja kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Suala la jinsi mitandao ya kijamii ilitumika katika matangazo ya kisiasa nchini Marekani kwenye uchaguzi uliopita limeleta mijadala hadi leo hii. Katika uamuzi uliotangazwa na mkurugenzi na mwanzilishi wa Twitter Bwana Jack Patrick Dorsey, amesema [...]


The post Matangazo ya kisiasa kwenye Twitter ni marufuku: Je kwa nini? #Uchambuzi appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More