Matatizo ya Mo, Manji yalipima akili zetu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Matatizo ya Mo, Manji yalipima akili zetu

INAFURAHISHA sana, lakini wakati mwingine inatia huzuni. Baada ya kupotea kwa mmiliki mtarajiwa wa Simba, Mohammed Dewji, Mo, nilikuwa nasikia kile kile ambacho nilikuwa nasikia wakati tajiri wa Yanga, Yusuf Manji alipotiwa ndani kwa matatizo yake.


Source: MwanaspotiRead More