Matokeo darasa la saba yatangazwa, ufaulu waongezeka - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Matokeo darasa la saba yatangazwa, ufaulu waongezeka

WATAHINIWA 733,103 kati ya 943,318 wamefaulu mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wa mwaka 2018. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akitangaza matokeo hayo leo tarehe 23 Oktoba 2018 jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde  amesema  ufaulu huo ni ongezeko la asilimia 4.96 kutoka asimilia 72.76 kwa mwaka jana hadi kufikia ...


Source: MwanahalisiRead More