Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Simba yatangazwa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Simba yatangazwa

Wakati wanachama wa Simba wakiandika historia kwa kufanya uchaguzi wa kwanza chini ya mfumo wa kampuni ambao utaendesha klabu yao huku Swedi Nkwabi akichaguliwa kwa kishindo kuwa mwenyekiti sambamba na wajumbe watano, klabu hiyo imetangaza bajeti ya zaidi ya Shilingi 6 bilioni kwa ajili ya msimu wa 2018/2019.


Source: MwanaspotiRead More