MATUKIO KATIKA PICHA USAJILI WA NGO’s KANDA YA MASHARIKI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MATUKIO KATIKA PICHA USAJILI WA NGO’s KANDA YA MASHARIKI


Mmoja wa mdau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine Bi.Vick Ntetema (kushoto aliyekaa) akipata huduma ya kusajili Taasisi yake ya Khulisa Social Solutions Tanzania (KSST) katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam kwa Kanda ya Mashariki. Mwanasheria kutoka Ofisi ya Msajili wa NGO Denis Bashaka (kulia), akifafanua jambo kwa mmoja wa mdau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali wakati akimpatia huduma ya kusajili Taasisi yake chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 3/2019 katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam kwa Kanda ya Mashariki. Mwanasheria kutoka Ofisi ya Msajili wa NGO Bi.Happy Msimbe akitoa huduma ya kusajili Taasisi kwa Mmoja wa mdau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali chini ya Sheria ya Ma... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More