MATUKIO KATIKA PICHA USAJILI WA NGO’s UKIENDELEA KANDA YA MASHARIKI KATIKA OFISI ZA WIZARA YA AFYA DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MATUKIO KATIKA PICHA USAJILI WA NGO’s UKIENDELEA KANDA YA MASHARIKI KATIKA OFISI ZA WIZARA YA AFYA DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Msaidizi kutoka Ofisi ya Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bw. Baraka Leonard (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa mdau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali wakati wakimpata huduma ya kusajili Taasisi yake chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 3/2019 katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye Ofisi ndogo  za Wizara jijini Dar es Salaam kwa Kanda ya Mashariki.  Mwanasheria kutoka Ofisi ya Msajili wa NGO Bw. Faki Shaweji (kulia)akifafanua jambo kwa mmoja wa mdau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali wakati akimpatia huduma ya kusajili Taasisi yake chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 3/2019 katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye Ofisi ndogo  za Wizara jijini Dar es Salaam kwa Kanda ya Mashariki.  Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More