Matukio Katika Picha Uwasilishwaji Mapendekezo Bajeti Kuu ya Serikali - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Matukio Katika Picha Uwasilishwaji Mapendekezo Bajeti Kuu ya Serikali

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akionyesha Mkoba unaowakilisha Bajeti Kuu ya Serikali alipowasili katika viwanja vya Bunge leo jijini Dodoma tayari kwa ajili ya kuwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. Serikali imewasilisha mapendekezo ya shilingi trilioni 33 kwa ajili ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2019/2020. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akiwasilisha Hotuba ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo jijini Dodoma. Serikali imewasilisha mapendekezo ya shilingi trilioni 33 kwa ajili ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2019/2020. Baadhi ya viongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Dotto James (kulia) wakifuatiliana Hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akiwasilisha Hotuba ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo jijini Dodoma. Serikali imewasilisha mapendekezo ya shilingi trilioni 33 kwa ajili ya Bajeti y... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More