MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE LEO JIJINI DODOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE LEO JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani Msuya alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani Msuya alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiongoza majadiliano yenye lengo la kubadilishana uzoefu wa kazi baina ya Makamishna wa Tume ya utumishi wa Bunge dhidi ya Tume ya Baraza la wawakilishi kutoka Zanzibar kikao kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Kikao pia kili... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More