MATUKIO YA PICHA ZA WAZIRI MKUU AKISHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU KAKA YAKE MZEE SAID MAJALIWA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MATUKIO YA PICHA ZA WAZIRI MKUU AKISHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU KAKA YAKE MZEE SAID MAJALIWAWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki ibada ya kumsalia marehemu kaka yake Mzee Said Majaliwa aliyefariki Machi 12, 2019 katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa Machi 13.2019 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu kaka yake Mzee Said Majaliwa aliyefariki Machi 12, 2019, ambaye amezikwa machi 13.3.2019 katika makaburi ya familia, Nandagala Wilayani Ruangwa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa mkono wa pole wa marehemu kaka yake Mzee Said Majaliwa aliyefariki Machi 12, 2019 na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa, kijijini kwake Nandagala Wilayani Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More