MATUKIO YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE PROFESA KABUDI ALIPOKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MATUKIO YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE PROFESA KABUDI ALIPOKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI


 Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akisalimiana na Mhe.Ivica Dacic,Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akiwa katika mazungumzo na Mhe.Ivica Dacic,Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia na baadhi ya wajumbe aliombatana nao.
 Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akiwa katika mazungumzo na Mhe.Ivica Dacic,Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia.  Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (mb) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe.Ivica Dacic,Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia,wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika M... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More