Matumizi mabaya ya fedha yawagonganisha RC Mongella, CCM - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Matumizi mabaya ya fedha yawagonganisha RC Mongella, CCM

MGOGORO umeibuka Mwanza kati ya serikali ya mkoa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoa (CCM) kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni kushindwa kusomwa kwa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2015. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza … (endelea). Mgogoro huo unadaiwa kuibuka baada ya Mkuu wa Mkoa wa ...


Source: MwanahalisiRead More