Mauaji ya Khashoggi: Maseneta nchini Marekani wanaamini bin Salman aliamuru mauaji, wamuita mtu "hatari" na "chizi" - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mauaji ya Khashoggi: Maseneta nchini Marekani wanaamini bin Salman aliamuru mauaji, wamuita mtu "hatari" na "chizi"

Maseneta hao wanataka hatua kali zichukuliwe dhidi ya utawala wa Saudia, wanatishia kuzuia ushirikiano wa kijeshi na Saudia katika vita inayoendelea Yemen.


Source: BBC SwahiliRead More