Mauaji ya Khashoggi ' yalipangwa siku kadhaa kabla' - Asema Rais Erdogan wa Uturuki - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mauaji ya Khashoggi ' yalipangwa siku kadhaa kabla' - Asema Rais Erdogan wa Uturuki

Rais Erdogan wa Uturuki amewaambia wabunge wa chama tawala nchini humo kwamba kuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa Saudi Arabia ni kiungo muhimu katika mauaji ya kikatili ya Khashoggi".


Source: BBC SwahiliRead More