MAUJI YALIYOTOKEA YANAZOROTESHA UCHUMI- DC NJOMBE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAUJI YALIYOTOKEA YANAZOROTESHA UCHUMI- DC NJOMBE

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mhe. Ruth Msafiri akizungumza na waumini wa Kanisa la TAG Melinze wakati wa kufunga maombi ya kuuombea mkoa wa Njombe kutokana na mauaji ya Watoto yaliyotokea Mkoani Njombe.Mwenyekiti wa Timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ( Idara za Maendeleo na Ustawi wa Jamii) Bi. Hanifa Selengu akitoa salamu za Wizara kwa waumini wa Kanisa la TAG Melinze wakati wa kufunga maombi ya kuuombea mkoa wa Njombe kutokana na mauaji ya Watoto yaliyotokea Mkoani humo.Waumini wa Kanisa la TAG Melinze wakimsikiliza MKuu wa Wilaya ya Njombe Mhe. Ruth Msafiri (hayuko pichani) wakati wa kufunga maombi ya kuuombea mkoa wa Njombe kutokana na mauaji ya Watoto yaliyotokea Mkoani humo.Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mhe. Ruth Msafiri (wa Tano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Waumini wa Kanisa la TAG Melinze na Timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ( Idara za Maendeleo na Ustawi wa Jamii mara baada... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More