Mauritania wafunga hesabu mapema - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mauritania wafunga hesabu mapema

WAKATI Juni 11 ikiwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha majina ya wachezaji 23 ambao kila timu itawatumia kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) huko Misri mwaka huu, Mauritania wametangaza kikosi kamili cha wachezaji kwa idadi hiyo tofauti na nchi nyingine ambazo zimetangaza vikosi vyenye idadi kubwa ya wachezaji kwa ajili ya maandalizi ambao watachujwa hapo baadaye na kubakia 23.


Source: MwanaspotiRead More