Mauzo ya moja kwa moja yanazidi kuongezeka Afrika Mashariki wakati vijana wenye ujuzi wa teknolojia wakitafuta fursa mpya za ujasiriamali. - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mauzo ya moja kwa moja yanazidi kuongezeka Afrika Mashariki wakati vijana wenye ujuzi wa teknolojia wakitafuta fursa mpya za ujasiriamali.

QNET, kampuni ya mauzo ya moja kwa moja inaimarisha soko la kanda kwa kutoa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu na kukuza ari mpya ya ujasiriamali.
Na mwanandishi WetuMauzo ya moja kwa moja (maafuru kama network marketing) yanakuwa kwa kasi katika eneo la kusini mwa Jangwa la Sahara ya Afrika na hasa Afrika Mashariki, jambo ambalo kwa kiasi kikubwa limesababishwa na ongezeko la idadi ya watu katika kanda hii pamoja na vijana mahiri ambao kwa mujibu wa taarifa ya Uchambuzi wa Ongezeko la Vijana ya Taasisi ya Maendeleo ya Afrika - sasa Afrika Mashariki ina zaidi ya 45% ya vijana kati ya watu milioni 150 walioko Kenya, Tanzania, Rwanda na Uganda.  Wengi wa vijana hawa wana elimu, kwa ujumla wana ufahamu wa teknolojia, wepesi kufuata mienendo mipya, wana hamasa ya kuweka juhudi na fikra za ujasiriamali - jambo ambalo ndio sifa ya awali ya mafanikio endelevu katika biashara ya uuzaji wa moja kwa moja. Kwa wanaoanza, mauzo ya moja kwa moja ni wazo la biashara ya kimataifa na linaelezewa kam... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More