Mauzo ya simu janja za Huawei yaporomoka kwa 40% kutoka Mei kwenda Juni - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mauzo ya simu janja za Huawei yaporomoka kwa 40% kutoka Mei kwenda Juni

Mauzo ya simu janja za Huawei yaporomoka kwa asilimia 40. Zuio la biashara la Marekani limeanza kuleta athari za kimapato kwa Huawei baada ya data zao kuonesha kuporomoka kwa mauzo ya simu ukilinganisha na kipindi cha mwenzi mmoja uliopita. Hayo yamesemwa na mwanzilishi wa kampuni hiyo Bwana Ren Zhengfei na baadae taarifa hiyo kukubaliwa na [...]


The post Mauzo ya simu janja za Huawei yaporomoka kwa 40% kutoka Mei kwenda Juni appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More