Mavoko Athitisha Kujitoa WCB - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mavoko Athitisha Kujitoa WCB

Kumekuwa na mambo mengi yakizunguka kuhusu ukweli wa  msanii rich mavokokuwepo ndani ya wcb au hayupo tena, kila mtu amekuwa akiongea lake uku wengine wasitake kusema moja kwa moja kuusu swala hilo.


Hata hivyo katika akaunti za wasanii wa WCB wote kumekuwa na alama inayoashiria kuwa msanii huyo anatoka katika lebo ya WCB, lakini hii imeonekana tofauti kwa akaunti ya instagram ya Rich mavoko kwa sasa kwa sababu kiashiria icho hakipo  tena kama hapo awali,


Lakini pia kama kunakuwa na ushirikiano kati ya wasnaii basi wanaweza kuwa wanafuatana katika kurasa zao lakini, rich mavoko  amemu-unfollow bosi huyo ya lebo hiyo hivyo kwa sasa hawana mahusiano mazuri katika mitandao.


Hivyo vinaweza kuwa ni viashiria vicaheche vinavyoweza kumfanya mtu aamini kuwa rich hayupo tena katika kundi hilo, na kwa kusthibitisha hilo zaidi, mwanamuziki huo ametoa wimbo mpya  ambao haonyeshi kuwa na mahusiano yoyote ya uzalishaji na wcb.


The post Mavoko Athitisha Kujitoa WCB appeared first on Ghafla!Tanzani... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More