Mawakala Chadema, NCCR wasulubiwa Ukonga - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mawakala Chadema, NCCR wasulubiwa Ukonga

MSIMAMIZI wa kituo cha Uchaguzi Pugu mnadani, Mustapha Zayumba amewatimua mawakala Chadema, NCCR-Mageuzi na NLD. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mustapha amesema, amewatimua mawakala hao kwa madai ya kutokuwa na barua za mtendaji wa kata. Mawakala wa Chadema wamelalamika kwamba, katika viapo waliyopewa vya kusimamia uchaguzi, walielezwa kuwa fomu zote watazikuta kituoni. “Nashangaa eti hapa ...


Source: MwanahalisiRead More