MAWAKILI WABISHANA KWA HOJA MAKAHAMANI KATIKA KESI INAYOWAKABILI VIGOGO WATATU WA KLABU YA SIMBA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAWAKILI WABISHANA KWA HOJA MAKAHAMANI KATIKA KESI INAYOWAKABILI VIGOGO WATATU WA KLABU YA SIMBA

Na Karama Kenyunko,Globu ya jamii.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema Novemba  26, 2018 itatoa uamuzi wa kama itapokea nyaraka za  taarifa ya kuhamisha fedha kutoka benki moja kwenda nyingine kama kielelezo cha ushahidi katika kesi ya utakatishaji  na kughushi dhidi ya viongozi watatu wa Klabu ya Simba ama la.
Hatua hiyo, imefikiwa leo Novemba 13, 2018 na Hakimu Mkazi Mkuu,Thomas baada ya kuibuka mabishano ya kisheria ya  upande wa mashtaka na ule wa utetezi. Wakili wa Serikali Mwandamizi Shadrack Kimaro ameiomba  Mahakama hiyo isipokee nyaraka hizo kama kielelezo cha ushahidi huku Wakili wa utetezi uliokuwa ukiwakilishwa na jopo la mawakili likiongozwa na Wakili Wabeya Kung'e ukiiomba ukipinga isipokelewe.
Wakati Wakili Kimaro ameomba Mahakama ipokee nyaraka hizo ambazo zimetolewa mahakamani hapo na shahidi wa kwanza wa upande wa mashtaka,  Boaz Mbupila (45) kutoka Makao makuu ya Benki ya CRDB.Kimaro amedai, Mbupila ndiye aliyezipeleka nyaraka hizo Takukuru ameeleza amezitoa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More