MAWAZIRI MWAKYEMBE, MKUCHIKA WAWAWEKA ‘KITI MOTO’ VIONGOZI YANGA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAWAZIRI MWAKYEMBE, MKUCHIKA WAWAWEKA ‘KITI MOTO’ VIONGOZI YANGA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison George Mwakyembe na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Huruma Mkuchika wamekaa faragha na uongozi wa Yanga kabla ya kuanza kwa mkutano Mkuu wa klabu hiyo Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam.
Mawaziri hao waliketi na uongozi huo, chini ya Kaimu Mwenyekiti, Clement Sanga katika chumba cha maalum ch mikutano kwenye ukumbi huo kwa takriban nusu saa.
Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Mkurugenzi wa Michezo, Yusuph Singo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya, Jaji John Mkwawa na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu pamoja na Katibu Mkuu, Charles Boniface Mkwasa.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika (kushoto) na Kaimu Mwenyekiti wa Yanga, Clemernt Sanga katika kikao hicho
Kushoto kwa Waziri Mwakyembe, Waziri Mkuchika ... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More