MAWAZIRI WATANO WATEMBELEA MRADI WA KUFUA UMEME STIEGLER'S GORGE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAWAZIRI WATANO WATEMBELEA MRADI WA KUFUA UMEME STIEGLER'S GORGE

Waziri wa Nishati, Medard Kalemani akizungumza na baadhi ya Mawaziri pamoja na Makatibu wakuu waliofanya ziara jana ya kutembelea mradi wa kufua umeme wa Mto Rufiji kwa ajili ya kukagua Miundombinu Wezeshi ikiwemo maji, barabara, umeme pamoja na nyumba za watumishi kabla ya kumkabidhi Mkandarasi huyo kwa ajili ya kuanza ujenzi wa bwawa la kuzalisha Umeme.Waziri wa Nyumba, Ardhi na Maendeleo ya Mkazi, Mhe. William Lukuvi akiwa ameshika moya nguzo za umeme zilizotengenezwa kwa zege yenye urefu wa mita 17 ambazo zimewekwa katika Pori la Akiba la Selous ili wanyama kama vile tembo na twiga waziweze kuziangusha wakati Mawaziri watano walipofanya ziara katika mradi huo wa kufua umeme wa mto Rufiji mkoani Morogoro. Wengine wanaoangalia ni mawaziri na makatibu wakuu.Mratibu wa Mradi wa Kufua Umeme wa Mto Rufiji, Mhandisi Justus Mtolela akizungumza na Mawaziri pamoja na viongozi mbalimbali walioambatana na katika Pori la Akiba la Selous kabla ya kuanza kufanya ziara ya kukagua Miundombinu We... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More