Mayanga wala hana presha Ruvu Shooting - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mayanga wala hana presha Ruvu Shooting

KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Salum Mayanga amesema licha ya kuchelewa kuanza kwa mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara kwa timu yake, haimtii hofu yoyote kwani atatumia wiki mbili zilizobaki kupanga silaha za maangamizi.


Source: MwanaspotiRead More