Mayanja hana presha na kina Niyonzima - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mayanja hana presha na kina Niyonzima

Kocha wa KMC, Jackson Mayanja amesema hana presha na mechi yao ya kesho dhidi ya AS Kigali ya Rwanda akidai wamepania kuifunga ikiwa kwao ili kujitengenezea mazingira rahisi katika mchezo wa marudiano.


Source: MwanaspotiRead More