Mayweather ‘Money’ akana kutaka kuzipiga na dogo wa miaka 20 raia wa Japan ‘Sikuwa na makubaliano rasmi’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mayweather ‘Money’ akana kutaka kuzipiga na dogo wa miaka 20 raia wa Japan ‘Sikuwa na makubaliano rasmi’

Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather amekanusha taarifa za kukubali kupigana na mwana ‘kickboxer’ wa Japan, Tenshin Nasukawa.


Image result for mayweather vs Japan


Bingwa huyo wa Dunia, Mayweather ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram.


Mayweather mwenye umri wa miaka 41, ambaye inasemekana alikuwa akitarajiwa kupigana na Tenshin mwenye umri wa miaka 20 Desemba 31 mwaka huu jijini Tokyo amekanusha habari hizo hapo jana siku ya Jumatano.


Image result for mayweather vs Japan


Sasa nipo narejea Marekani baada ya safari yangu ndefu na yenye kukatisha tamaa ya Tokyo, nafahamu nina muda wa kukufahamisha wewe shabiki yangu na vyombo vya habari kuhusiana na pambano langu lijalo Desemba 31 ambalo lilitangazwa.


”Sasa kwa kuwa nimekuja kwenye udongo wa U.S. baada ya safari ndefu ya kukata tamaa ya Tokyo, sasa nina wakati wa kukufahamisha wewe, mashabiki wangu na vyombo vya habari kuhusiana na tukio lijao tarehe 31 Desemba ambayo ilitangazwa hivi karibuni. Kwanza kabisa, nataka iwe wazi kwamba mimi, Floyd Mayweather, sikukubaliana rasmi,” a... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More