Mazishi Ya Mke wa Kibonde, Bi. Sarah Kibonde (+picha) - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mazishi Ya Mke wa Kibonde, Bi. Sarah Kibonde (+picha)

Mke wa Mtangazaji wa Clouds Media, Ephraim Kibonde, Bi Sarah Kibonde, alizikwa siku ya jana katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar baada ya kufariki dunia siku chache zilizopita kutokana na Ugonjwa wa Kansa.


Msiba huo ulihudhriwa na mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Rogers Sianga, Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Greyson Msigwa, wasanii wakiongozwa na Lady Jaydee, wafanyakazi wa Clouds Media Group, ndugu, jamaa na marafiki.


Hizi ni baadhi ya picha za matukio ya msiba huo:.

 


The post Mazishi Ya Mke wa Kibonde, Bi. Sarah Kibonde (+picha) appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More