MAZISHI YA MKE WA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM EPHRAIM KIBONDE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR JIONI HII - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAZISHI YA MKE WA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM EPHRAIM KIBONDE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR JIONI HII

 Jeneza lenye mwili wa mke wa Mtangazaji maarufu nchini na Radio Clouds FM, Ephrahim Kibonde, marehemu Sarrah Kibonde, ukiwasili kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam tayari kwa mazishi. Mtangazaji maarufu nchini na Radio Clouds FM, Ephrahim Kibonde akiwa na watoto wake wakati wa mazishi ya Mkewe, Sarrah Kibonde kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni hii tayari kwa mazishi.  Mchungaji akitoa neno katika mazishi hayo. Sehemu ya Waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Mke wa Mtangazaji maarufu nchini na Radio Clouds FM, Ephrahim Kibonde, marehemu Sarrah Kibonde, kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni hii.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More