Mazishi ya Msanii Sam wa Ukweli. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mazishi ya Msanii Sam wa Ukweli.

msanii Sam wa Ukweli aliyefariki siku kama tatu zilizopita anazikwa leo muda huu huko kijijini kwao bagamoyo,msiba huu ambao umegusa watu mbalimbali umehudhuriwa na watu  maarufu akiwepo Mh Ridhiwani Kikwete.Mh Ridhiwani Kikwete.Wasanii Fid q na Gnako.Ben polSnura na waombelezaji wengine wakiwa msibani.


 


The post Mazishi ya Msanii Sam wa Ukweli. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More