MAZOEZI YA PAMOJA YA MAJESHI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAZOEZI YA PAMOJA YA MAJESHI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi akizungumza wakati akifunga kufunga mazoezi ya ya mafunzo ya Ushirikiano Imara mwaka 2018 ya Kijeshi kwa vikosi vya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye eneo la Mlingano wilayani Muheza mkoani Tanga ambayo yalikuwa na malengo ya kukabiliana na vitendo vya kigaidi,uharamia,majanga na kujenga uchumi imara katika nchi Waziri wa Ulinzi wa Kenya Balozi Raychelle Omamo akitoa salamu kwenye ufungaji huo wa mafunzo Mkuu wa Majeshi nchini Jenerali Venance Mabeyo akizungumza katika halfa ya ufungaji wa Mafunzo hayo yaliyifanyika kwenye eneo la Mlingano wilayani Muheza Mkoani Tanga WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi kushoto akiwa na Waziri wa Ulinzi wa Kenya Balozi Raychelle OmamoVikosi mbalimbali vikipita mbele ya mgeni rasmi leo MAJESHI ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yapo imara kupambana na vitendo vya uvunjifu wa amani katika nchi wanachama baada ya kuhitimisha mazoezi ya pamoja yaliyozikuta... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More