Mbaga: Mfuko wa Hati Fungani kutoa fursa kwa jamii kujikomboa kiuchumi - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbaga: Mfuko wa Hati Fungani kutoa fursa kwa jamii kujikomboa kiuchumi

Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, DaudiMbaga, akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani)
**********************
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya UTT AMIS inayomilikiwa na Serikali kupitiaWizara ya Fedha na Mipango, imeanzisha huduma mpya yaMfuko wa Hati Fungani ‘Bond Fund’ ili kuiwezesha jamii iwezekuzifikia fursa za uwekezaji na kujikomboa kiuchumi.
Kuanzishwa kwa mfuko huo kumeongeza idadi ya mifuko nakufikia sita yote ikisimamiwa na kampuni hiyo iliyoanzishwamwaka 2013 ikichukua jukumu ya usimamizi wa Mifuko yaUwekezaji wa Pamoja kutoka kwa Dhamana ya UwekezajiTanzania (UTT).
Akiuzungumzia mfuko huo, Mkurugenzi wa Masoko naUhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga, alisema utatoa fursakwa wawekezaji wadogo, wakati kuzifikia fursa za uwekezajizilizokuwa zikifikiwa na wawekezaji wachache, wakubwa.
Alifafanua kuwa, baadhi ya bidhaa hizo zinaeleweka kirahisiambapo namna ya kuzifikia, kuwekeza ni rahisi lakini wakatimwingine hazitoi faida shindani kwa wawekezaji.
Alisema mfuko huo ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More