Mbao FC sasa yanogewa, akili zote zahamia simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbao FC sasa yanogewa, akili zote zahamia simba

BAADA ya Mbao FC kufanikiwa kuvuna pointi saba ugenini, Kocha wa timu hiyo, Amri Said ‘Stam’ amesema kwa sasa nguvu zote ni katika mechi za nyumbani akianza na JKT Tanzania kuhakikisha hapotezi kitu.


Source: MwanaspotiRead More