MBAPPE AFUNGA MABAO MANNE DAKIKA 13 PSG IKISHINDA 5-0 UFARANSA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MBAPPE AFUNGA MABAO MANNE DAKIKA 13 PSG IKISHINDA 5-0 UFARANSA

Kylian Mbappe akishangilia kwa furaha baada ya kufunga mabao manne ndani ya dakika 13, dakika za 61, 66, 69 na 74 katika ushindi wa 5-0 wa Paris St Germain dhidi ya Lyon kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Bao lingine la PSG limefungwa na Neymar dakika ya tisa kwa penalti Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More