MBAPPE AINUSURU UFARANSA KUPIGWA NYUMBANI NA ICELAND - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MBAPPE AINUSURU UFARANSA KUPIGWA NYUMBANI NA ICELAND

Mshambuliaji Kylian Mbappe akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Ufaransa bao la kusawazisha dakika ya 90 kwa penalti katika sare ya 2-2 na Iceland usiku wa jana Uwanja wa Roudourou mjini Guingamp kwenye mchezo wa kirafiki. Iceland ilitangulia kwa mabao ya Birkir Bjarnason dakika ya 30 na Kari Arnason dakika ya 58, kabla ya Holmar Orn Eyjolfsson kujifunga kuipatia bao la kwanza Ufaransa dakika ya 86 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More