Mbappe alinusuru Ufaransa kwa Iceland - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbappe alinusuru Ufaransa kwa Iceland

Katika mechi hiyo ya kirafiki iliyopigwa mjini Guingamp, na kumalizika kwa sare ya mabao 2-2, wenyeji walijikuta wakienda mapumziko wakiwa nyuma kwa bao 1-0 baada ya Birkir Bjarnason kufunga bao la kuongoza katika dakika ya 30.


Source: MwanaspotiRead More