Mbappe ni hatari kuliko Ronaldo na Messi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbappe ni hatari kuliko Ronaldo na Messi

Mbappe mpaka sasa amefunga mabao 52 akiwa amezichezea klabu za Monaco huku takwimu zikionyesha kuwa katika umri huo, Messi akiwa na Barcelona alikuwa amefunga mabao 25 wakati Ronaldo akiwa na Manchester United alikuwa amefunga mabao 17 tu.


Source: MwanaspotiRead More