Mbelgiji abomoa ukuta Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbelgiji abomoa ukuta Simba

ULE ukuta wa kikosi cha Simba ambao katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara, haujaruhusu bao lolote unavunjwa. Ndio huu ni ukuta uliokuwa ukiundwa na mabeki visiki Pascal Wawa na Paul Bukaba akisaidiwa na mabeki wa pembeni, Asante Kwasi na Shomary Kapombe, wakimlinda kipa Aisha Manula.


Source: MwanaspotiRead More