Mbelwa nusura avunje pua Namibia - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbelwa nusura avunje pua Namibia

UMEWAHI kusikia bondia wa uzito wa juu (heavy weight) anazichapa na yule wa uzani wa kati (middle weight)?, hiyo ilimkuta bondia wa Bongo, Said Mbelwa ambaye anakwambia nusura anyofolewe pua na konde lililomzidi uzito kisa kucheza pambano lisilomhusu.


Source: MwanaspotiRead More