MBEYA CEMENT YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MBEYA CEMENT YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR

Mkurugenzi mkuu wa LafargeHolcim na Mbeya Cement Company Limited nchini Ilse Boshoff akizungumza na waandishi wa habari katika semina elekezi kwa waandishi wa habari kuhusiana na utayari wao wa kusaidia maendeleo nchini, sambamba na nia yao ya kutoa gawio kwa serikali pamoja na ubora na uimara ya saruji inayozalishwa na kampuni hiyo yenye makao makuu jijiji Mbeya wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari iliyofanyika Ofisini kwao jijini Dar es Salaam. Mtaalamu wa Saruji Mark Chilambe akitoa mafunzo hayo ambapo ameeleza namna anavyozalisha saruji sambamba na utunzaji wa mazingira na amesema kuwa saruji wanazozalisha huuzwa kwa asilimia 8 nchini na nyingine husafirishwa nje ya nchi. Mafunzo yakiendelea Uongozi wa LafargeHolcim ukiwa kwenye picha ya pamoja na waandishi wa habari walioshiriki mafunzo hayo yaliyofanyika ofisini kwao jijini Dar es Salaam.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More