Mbosso afunguka kifo cha mzazi mwenzake Boss Martha “tulikuwa tunatafuta nyumba” (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbosso afunguka kifo cha mzazi mwenzake Boss Martha “tulikuwa tunatafuta nyumba” (Video)

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB Mbosso amefunguka kuzungumza kifo za mzazi mwenzake Mchekeshaji Boss Martha ambaye amefariki mapema leo baada ya kuugua ghafla.Muimbaji huyo amedai ni kweli alizaa na mrembo huyo mtoto mmoja wa kiume lakini walikubaliana wasilizungumze hilo.


The post Mbosso afunguka kifo cha mzazi mwenzake Boss Martha “tulikuwa tunatafuta nyumba” (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More